Swahili

Karibu CE Uswidi

Tunawasaidia wateja wa kimataifa kung’amua mazingira ya kibiashara ya Uswidi. Washauri wetu wanachukua muda wa kutosha kuelewa kikamilifu kampuni, teknolojia na malengo ya kampuni yako. Suluhu tunazotoa daima zinashughulikia kabisa mahitaji yako ya kipekee.
Uswidi ni nchi yenye maendeleo makubwa na fursa nyingi sana – ni mahali pazuri pa kupanua biashara yako kimataifa na kugundua masoko mapya. Shirikiana na sisi. Tuko tayari kukusaidia katika kila hatua.

1 Forbes hivi majuzi iliitaja Uswidi kuwa nchi bora zaidi duniani ya kufanyia biashara – mahali pazuri sana kwa wawekezaji

2 Uswidi ina kiwango cha pato la taifa la kila mwaka kwa kila mtu la $56,956, na kiwango cha juu zaidi cha maisha kote duniani

3 Uchumi wa kidijitali wa hali ya juu zaidi barani Ulaya, na jamii iliyoendelea zaidi katika uchumi usiotumia pesa taslimu katika eneo hili

4 Kiolezo cha Ushindani wa Kimataifa kimeianisha Uswidi kuwa nchi yenye uchumi wenye ushindani wa juu zaidi kote duniani

5 Uswidi inachukuliwa kuwa taifa lenye uvumbuzi zaidi katika Umoja wa Ulaya, na iliyo na leseni rasmi nyingi zaidi kwa kila mtu kwa mwaka

6 Uswidi ipo katika nafasi bora zaidi kuliko nchi yoyote duniani katika uwezo wa kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

USHAURI

UCHANGANUZI WA MASOKO

UTAFITI

AFISI PEPE

TAFSIRI

0
MIAKA YA BIASHARA
0
WASHIRIKA WATAALAM
0
WATEJA WAZURI ZAIDI
0 %
HAKIKISHO LA KURIDHIKA
Suluhu Maalum
Kila mteja ni tofauti - Kila mradi ni tofauti - Ndiyo sababu sisi daima tunajitahidi kutoa suluhu maalum, zilizoundwa ili kukidhi mahitaji na malengo yako maalum
Tunaifahamu wa Nchi Hii
Uhusiano wetu wa karibu na mashirika ya serikali ya Uswidi, taasisi na makampuni hutuwezesha kutatua matatizo yako kwa haraka na kwa urahisi
Nufaika Kutokana na Ustadi Wetu
Hebu tukupe usaidizi unaohitaji ili kufanikiwa - Maarifa yetu ya miaka kadhaa ndio misingi ya mafanikio yako nchini Uswidi
Vipimo na Uchanganuzi
Mikakati na vitendo vyote tunavyopendekeza vina mbinu wazi za kupima athari zake kwa malengo yako ya biashara na uuzaji
Ubora wa Huduma
Matokeo yetu yanahusiana moja kwa moja na ubora wa huduma tunazotoa, na hatimaye kuwezesha mafanikio yako - Tuko hapa ili kukusaidia katika kila hatua

Habari zinazochipuka

Loading RSS Feed
Pamoja tugundue mambo yanayowezekana!

Wasiliana nasi upate maelezo zaidi

error: Innehållet är skyddat!